WASANII WA ORIJINOKOMEDI KUTIBIWA HADI NJE YA NCHI

Tuesday, September 30, 2014


BY nargismohamed :"Nimepata faraja kubwa leo baada ya @orijinokomedi wasanii wenzangu kuja bank kwangu CRDB microfinance insurance brokers ( A subsidiary of crdb bank) kujipatia bima zao za maisha kupitia kampuni kubwa Tanzania ya African life assurance na bima yao ya afya tena ya Gold ambayo wanatibiwa mpaka nje ya nchi (south africa,india and kenya) sasa ata wakiwa hawana alfu moja mfukoni wakiuma mradi wabima yao wanaenda hospitali yoyote iliyoko na mkataba na AAR na kupata matibabu bila usumbufu. Asanteni @orijinokomedi @orijinokomedi kwa kuonyesha kua msimu wenu mpya huu mjejijali nyinyi na familia zenu. I cant wait to see u guys back on tv. Masanja hakuwepo aliwai airport kuelekea marekani kurecord part ya vipindi vyao. Nahamasisha wasanii wote tujijali kwa bima"

BABAZIRO

0 comments:

Post a Comment

 

Search

Sponsor

photo
Copyright 2010 KIBAJAJI. All rights reserved.
Themes by Ex Templates Blogger Templates - Home Recordings - Studio Rekaman