Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Said Salim, aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia.
Taarifa kutoka mkoani Lindi zinasema Side Boy amekufa leo Septemba 29, 2014 katika Hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani humo.
Marehemu aliwahi kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo ‘Hujafa Hujaumbika’, ‘Usidharau Usiyemjua’ na ‘Kua Uyaone.’
Hadi sasa bado haijafahamika kuwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani
R.I.P Side Boy Mnyamwezi
0 comments:
Post a Comment