PICHAZ: BEHIND THE SCENE RIYAMA NA KINGWENDU!!!!

Sunday, September 14, 2014



"Tukiwa pamoja muongozaji wetu mussa banzi nimefurahi sana kuni ongoza kazi hii kwani yeye ndio alioniotoa ktk fungu lakukosa alitunga akapiga picha na kuiongoza filamu yenyewe mungu ambariki sanaaaaaaa na mpenda sana bila yeye pengine singekua riyama huyu wa laeo pia ndio alie watoa malikia vinara ktk filamu odama na shumilitha n.k." BY  Riyama VIA Instagram



#kingwendu usinivuruge nishavurugika muda sana.......

PICHA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment

 

Search

Sponsor

photo
Copyright 2010 KIBAJAJI. All rights reserved.
Themes by Ex Templates Blogger Templates - Home Recordings - Studio Rekaman