Baada ya jana mwanadada wema sepetu kupewa zawaidi ya Gari aina ya NISANI -Murano....ilivumu kuwa iliilikuwa zuga tu..kutokana na kile kinachodaiwa ni kutafuta KIKI...Sasa leo kupitia ukurasa wake wa IMSTAGRAM manager wa mwanadada huyu, Martin Kadinda amefunguka baada ya kutupia picha hii ;.